Kurasa ya bet_africa ilivyokiki baada ya post ya mtoto wa Diamond Platnumz ‘
Tifah‘ amabyo ilikuwa post kwenye kipengele chao cha Cute Day Selection.
Post yao ilisema “
Our #CuteDay selection today is @diamondplatnumz‘ s daughter Princess Tifah
”
na baad aya hapo imekuwa post iliyopata comment nyingi zaidi kuliko
post yoyote waliyowahi kuweka kwenye kurasa hii ya instagram ya kituo
cha BET kwenye tawi lao la Afrika.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten