Boss wa Cash Money Records aliyetoka kwenye mahojiano ya BreakFast Club hivi karibuni baada ya kuona anachukuliwa powa na hapewi heshima anayotakiwa kupewa ametupia KIKI Hilo kutengeneza T Shirt zilizoandikwa ‘Respek’ neno ambalo yeye alisema akimaanisha RESPECT.
Birdman ametoa T-shirts hizo huku akitangaza ujio wa album yake mpya.


Geen opmerkingen:
Een reactie posten