Mchezaji akicheza mpira karibu na shimoni kwa
fimbo la "putte
Aina za mafimbo
Golf ni mchezo ambako mchezaji anapiga mpira mdogo kwenye
uwanja mkubwa kwa kutumia mafimbo ya pekee akilenga kufikisha mpira katika
mashimo yanayofuatana. Sheria ya kimsingi inasema: "Mchezaji anafikisha
mpira kutoka chanzo hadi kufikia shimoni kwa pigo moja au mapigo
yanayofuatana."
Yaliyomo
[ficha]
Uwanja[|
Uwanja wa golf kwa kawaida ni eneo kubwa inayoweza kufikia
hektari 60 hadi 80. Sehemu kubwa ya eneo linafunikwa na manyasi na miti. Uwanja
kamili huwa na mashimo 18, uwanja mdogo na mashimo 9.
Kucheza[
Kuanzia chanzo kinachoitwa "tee" mchezaji anaelekea
mashimo ya uwanja kwa utaratibu wake; maana anahitaji kufika kwanza shimo na. 1,
halafu na. 2 na kadhalika. Lengo ni kufikisha mpira shimoni kwa mapigo machache
iwezekanavyo. Idadi ya mapigo inaandikwa na kulinganishwa baadaye kwa kusudi la
kumpata mshindi kati ya wachezaji wanaomaliza mashimo yote.
Golf huchezwa na mtu pekee yake kwa mazoezi, na wachezaji wawili
kati yao au na timu za wachezaji.
Kulingana na umbali wa shimo na ugumu wa eneo mchezaji ana
chaguo kati ya mafimbo mbalimbali. Kwa pigo la mbali atatumia fimbo lenye
kichwa kizito kinachorusha mpira hewani kuelekea shimo. Akikaribia atatumia
kichwa chepesi zaidi kinachoitwa "putter" na kusukuma mpira juu ya
ardhi au manyasi kuelekea shimoni
Mafimbo
Mchezaji akicheza mpira karibu na shimoni kwa
fimbo la "putter"
Mchezaji anaruhusiwa kutumia mafimbo hadi 14 tofauti kwa mchezo
wake. Wanatofautisha "ubao", "chuma" na "putter".
Mashindano makuu
Kuna mashindano kadhaa maarufu na hapo hushiriki hasa wachezaji
wanaocheza kikazi. Mashindano haya huitwa "majors".
Wanaume
2.
U.S.
Open
4.
PGA
Championship
Wanawake
1.
Kraft
Nabisco Championship
2.
LPGA
Championship
3.
U.S.
Women's Open
Geen opmerkingen:
Een reactie posten