Baada ya rapa Aka kuweka wazi kuwa yeyena
DJ Zinhle watabaki kuwa wazazi tu kwa mtoto wao wa kwanza, kwa sasa
staa huyu anajiachia na Bonang Matheba na ameliweka jambo hili wazi
kabisa.
AKA ameonekana na Bonang Matheba kwenye
sehemu tofauti za starehe wakila bata na hivi karibuni walikuwa pamoja
airport na ni Love In The Air tu.
Fahamukuwa Bonang Matheba alikuwa mpenzi wa Dbanj. Hii ni convo yao huko twitter.


Geen opmerkingen:
Een reactie posten