
Mwimbaji kutoka Kenya anayefanya kazi zake za muziki Nigeria Victori Kimani amesema lengo la kujiunga na lebel ya Nigeria ya Chocolate City ni kuteka mashabiki zaidi Afrika.
Victoria anasema “Wakati najiunga na Chocolate City walikuwa na ofisi zao Kenya na lengo lao lilikuwa kutangaza wasanii Afrika nzima na sio nchi moja tu, ndio maana nilipenda kufanya nao kazi na wameweza kufikisha muziki wangu kwa mashabiki wengi kwenye bara la Afrika”.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten