
Aliyekuwa mke wa rapa Wiz Khalifa
‘Amber Rose’ amejitamba hivi karibu akiwa na mpenzi wake mpya ambaye ni
mcheza kikapu Terrence Ross.
Amber Rose ’32’ ameripotiwa kuwa na
mapenzi moto moto sana na mcheza kikapu huyu mwenye miaka25 toka
wakutane miezi miwili iliyopita.









Geen opmerkingen:
Een reactie posten