hiki ni kibao cha chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha <AJTC> |
hili ni jengo la utawala katika chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha <AJTC> |
sehemu ya vyumba vya madarasa chuoni hapo |
mkufunzi wa chuo hicho Bw: Thomas Ishengoma akifundisha moja kati ya madarasa chuoni hapo |
wanafunzi wakisikiliza kwa makini darasani |
baadhi ya wanafunzi chuoni hapo wakijifunza kompyuta |
wanafunzi hushirikiana vyema kimsomo pindi wawapo darasani kwa kuelekezana yale wasiyoyafahamu |
wakufunzi hua na muda wa ziada kuhahakisha wanafunzi wanaelewa zaidi pindi wanapoitaji |
wanafunzi hupata muda wa mapumziko na kujadiliana maswala kadha wa kadha |
![]() |
wanafunzi hupata muda wa kufanya mazoezi kwa vitendo ili kujiimarisha zaidi kitaaluma |
Geen opmerkingen:
Een reactie posten