
Bongo fleva super staa Diamond Platnumz amehojiwa na kipindi cha BET Cha 106&PARK akiwa na mastaa kama Akon, na Ray Jhuku aliyefanya mahojiano ni mtoto wa Puff Daddy ‘Quincy’.
Diamond Platnumz yupo Los Angels California Marekani kwenye tuzo za BET 2016 za 16, Diamond anawania kuzo ya msanii bora kutoka Afrika.



Geen opmerkingen:
Een reactie posten