Kwa sasa Drake ametajwa kuwa msanii aliyesikilizwa mara nyingi zaidi kwenye mtandao wa Spotify na kumkalisha pop staa Justin Bieber.
Drizzy amemfunika Justin Bieber kwa kusikilizwa na watu zaidi ya milioni 10 kuliko Justin.Drake ana watu 3,185,045,281 na Justin ni watu 3,175,636,461 , wasanii wengine kwenye orodha hii ni pamoja na The Weeknd ,Rihanna , Fetty Wap na Nicki Minaj.
Drake alishika nafasi hii mwaka 2015 na album yake ya If Youre Reading This Its Too Late,
Geen opmerkingen:
Een reactie posten