burudan

Baada ya kumbwaga Tyga,Kylie Jenner kahamia kwa huyu rapa mpya,wanamuita macho ya paka.

New Couple Alert kutoka mbele inamuhusu Ex wa Rapa Tyga Kylie Jenner ikiwa ni siku chache tu baada ya kutengana kwa wapenzi hawa, tayari kuna uvumi kuwa Kylie anampenzi mpya.
Mwandishi wa gazeti la Nylon Magazine, anasema Kylie Jenner na Ty Dolla $ign walikuwa wanapeana mabusu kwenye pati ya BCBGeneration Annual Young Hollywood party na kwamba huu sio uvumi tena.
Je Ty Dolla $ign ni bora kuliko Tyga ?
kylie-jenner-tyga-ty-dolla-sign

Geen opmerkingen:

Een reactie posten

KBSBLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Thema-afbeeldingen van Bim. Mogelijk gemaakt door Blogger.
Published By Gooyaabi Templates