burudan

VIDEO: TYGA AONGELEA KWA MARA YA KWANZA JUU YA KUACHANA NA MPENZ WAKE

Tyga amekutana na mapaparazzi kwenye kiwanja cha ndege cha LAX na kuongelea kwa mara ya kwanza kuachana na Kylie.
Tyga anasema “Ni kweli wameachana na kwamba mambo muda mwingine hayaendi sawa na kama unavyotaka ila ndio maisha”
Video ndio hii

Geen opmerkingen:

Een reactie posten

KBSBLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Thema-afbeeldingen van Bim. Mogelijk gemaakt door Blogger.
Published By Gooyaabi Templates