Hii itakuwa kauli itakayokumbukwa zaidi kwenye
maisha ya muziki ya msanii Mariah Carey baada ya kuulizwa kama kuna
msanii anatarajiwa kuimba kwenye harusi ya pop Diva Huyu.
Mariah Carey alijibu kwa hasira na mshangao huku akisema “Hakuna msanii mwenye vigezo vya kuimba kwenye harusi yangu”Na haya ndio maneno ya Mariah ‘F**king Nobody’ Is Good Enough to Perform at my Wedding”

Geen opmerkingen:
Een reactie posten