
WCB staa Harmonize naye ameanza kujutia maisha ya ustaa kupitia ujumbe wake instagram kuhusu mategemeo ya maisha ya umaarufu ni tofauti na alivyowazia.
Harmonize aliandika hivi “Nilikuwa Sijuwi Kuwa Umaarufu Una Mambo Mengi Kiasi Hikii Daaah Sio Rahisi Kuyashinda Peke Yangu M/mungu Simama Nami Hadi Siku Yangu Ya Mwisho Umaarufu Isiwe Sababu Ya Kukukosea Na Kuwakosea Wazazi Wangu Pamoja Na Ndugu Rafiki Pia Nakuomba Unijalie Mwisho Mwema Mimi Na Nduguzangu Woooote Walio Bahatika Kusoma Hapa Tuseme Ameen



Post hii imepata zaidi ya comment 650.

Geen opmerkingen:
Een reactie posten