Vikosi vya Serikali ya Iraq
vimekutana na upinzani mkali kutoka kwa wapiganaji wa Islamic State
wakipigania mji wa Falluja, takriban kilometa 15 magharibi mwa mji mkuu
wa nchi hiyo, Baghdad.
Wanajeshi wa Iraq wanasema walirudisha mahambulizi dhidi ya IS, mashambulizi yaliyoanza alfajiri.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten