burudan

HUU NDIYO UZI MPYA WA ARSENAL WA MSIMU UJAO....


ARSENAL AMBAO MSIMU HUU WAMESHIKA NAFASI YA PILI LIGI KUU ENGLAND, WAMETANGAZA JEZI ZAO MPYA WATAKAOZITUMIA KATIKA MSIMU MPYA WA 2016-17. JEZI HIZO CHINI YA PUMA, HAZINA TOFAUTI KUBWA SANA NA ZILE ZA MSIMU ULIOPITA LAKINI KUNA MABADILIKO YALIYOZIBORESHA ZAIDI.






Geen opmerkingen:

Een reactie posten

KBSBLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Thema-afbeeldingen van Bim. Mogelijk gemaakt door Blogger.
Published By Gooyaabi Templates