Video ya mpya ya Navy Kenzo ya KAMATIA imeweza kufikisha watazamaji milioni moja ndani ya miezi minne na kuifunika video ya wimbo wa awali wa GAME wa kundi hili,
Jambo hili limeonyesha kuwa KAMATIA imekuwa na nguvu zaidi bila promo kuliko rekodi yoyote waliowahi kutoa Navy Kenzo.


Geen opmerkingen:
Een reactie posten