
Floyd alianzisha lebel ya muziki wa rapa mwaka jana na kumsajili rapa Lil Jamez na Jay Bling na ameshaonekana nao kwenye jukwa la Hard Rock Live mjini Vegas.
“Floyd ni mtu wa muziki, anatuingiza studio na kutupeleka na ndege kutoka mji moja mpaka mwingine,” Jay Bling alisema
Floyd anampango wa kufanya kazi na wasanii kama Future, Game, The Weeknd, Flo Rida, Justin Bieber, DJ Khaled, Lil Wayne, Rick Ross.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten