burudan

Iggy Azalea amrudishia Nick Young pete yake ya uchumba.


Iggy Azalea amemrudishia Nick Young pete yake ya uchumba huku yeye akichukua gari alilompa Nick kama zawadi mwaka 2014.
Iggy na Nick walikubaliana kuwa kama wataachana basi Nick atapata pete yake na Iggy atachukua gari alilompa.
Pete ina Carats 10.43 ikiwa na thamani ya dolalaki tano.

Geen opmerkingen:

Een reactie posten

KBSBLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Thema-afbeeldingen van Bim. Mogelijk gemaakt door Blogger.
Published By Gooyaabi Templates