Baada ya kuhusishwa kikazi na wasanii wakubwa kama Drake, Tinie Temphah, Swizz beatz na Ty Dollar Sign sasa msanii wa Nigeria Wiz Kid amezama studio na rapa mkalu kutoka Marekani anayefahamika kama French Montana.
Mpaka sasa haijulikani ngoma ni ya nani ila imethibitishwa kuwa wamefanya wimbo pamoja.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten