burudan

Chris brown ajibu tuhuma za kumpiga mangumi meneja wake.


Meneja wa Chris Brown amefungua kesi dhidi ya aliyekuwa msanii wake baada ya kufukuzwa kazi kutokana na uwizi wa pesa.
Mike G alipewa kazi na Chris Brown mwaka 2012 kazi yake ikiwa ni kubadilisha mtazamo wa watu juu ya Chris Brown na kumsaidia aache kutumia dawa za kulevya.
Mike G anasema mwezi uliopita Chris Brown alimwingiza kwenye chumba na kumpiga ngumi za uso na shingoni na kupelekea meneja huyu kulazwa hospitalini.
Chris Brown amejibu tuhuma hizi kwa kusema kuwa amemtimua kazi meneja huyo kutokana na uwizi wa pesa zake.

Geen opmerkingen:

Een reactie posten

KBSBLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Thema-afbeeldingen van Bim. Mogelijk gemaakt door Blogger.
Published By Gooyaabi Templates