![]() |
Heather Watson |
Wacheza tenesi Heather Watson na
Kyle Edmund wamefuzu kuingia raundi ya pili ya michuano ya wazi ya
ufaransa.Watson, alimshinda mpinzani wake Nicole Gibbs, kwa seti mbili
baada ya kupoteza seti ya kwanza kwa 5-7 kisha akashinda kwa 6-2 6-2.
Nae Kyle Edmund akaibuka kidedea kwa kumchapa Nikoloz Basilashvili kwa seti tatu kwa ushindi wa 7-6 kisha akapoteza kwa 6-7 na kumaliza na ushindi wa 7-5 6-1.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten