![]() |
Rais wa zamani wa Myanmar Thein Sein |
Mwaandishi mmoja nchini Myanmar
amehukumiwa kifungo cha miezi sita jela, baada ya kutunga shairi kwa
kuchora sura ya Rais wa zamani wa Myanmar, Thein Sein kwenye uume wake.
Sasa akifahamika kama "penis poet", mtu huyo mwenye umri wa miaka 24 ataachiliwa huru baada ya kutumikia kifungo hicho cha miezi sita gerezani.
Mamlaka kuu nchini Burmer, inaendelea kuwafunga raia wake jela kwa kutoa maoni kwenye mitandao ya kijamii, ambayo yanaikosoa serikali hiyo.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten