![]() |
Migodi ya jade |
Ripoti kutoka kaskazini mwa Myanmar
zinasema kuwa watu kadha wanahofiwa kuzikwa nchini ya maporomoko ya
udongo katika eneo moja la vijijini.
Maporomo mawili ya ardhi katika migodi ya jade iliwaua zaidi ya watu 100 mwaka uliopita.
Migodi ya jane hutoa kiwango kikubwa cha mawe ambayo watu nchini Burma huenda kutafuta mawe yenye thamani.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten