Nchi zingine wanasema harakati hizi zinaitwa Giving Back to the
Community, Wema Sepetu na Jamii ni project ya Wema Sepetu na usimamizi
wake kugusa maisha ya watu wanaomzunguka haswa watoto kama unavyoona
kwenye picha hizi.
Harakati hizi zimepewa jina
#WemaNaJamii #MkonoWaBaraka #MtotoWakoNiWangu
Geen opmerkingen:
Een reactie posten