burudan

Nuh Mziwanda Afunguka jinsi Alikiba Alivyomliza


Star wa Bongo fleva Nuh Mziwanda amefunguka kuhusiana na ugumu wa harakati za kutaka kufanya collabo na Alikiba kwani zilitaka hadi kumliza.

Akizungumza na waandishi wa habari Nuh amesema kuwa ilimchukua zaidi ya wiki mbili ili kumpata Kiba kwaajili ya collabo ila walivyokutana tu walipiga kazi na ikawa poa.

Pia Nuh ameweka wazi kuwa amesha sahau mambo ya Shilole huku akikanusha kupotea kwenye game na kusema kuwa amepotea instagram, ila sio kwenye game.

Geen opmerkingen:

Een reactie posten

KBSBLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Thema-afbeeldingen van Bim. Mogelijk gemaakt door Blogger.
Published By Gooyaabi Templates