Jay Z na mshkaji wake wa muda mrefu Sean ‘Puff Daddy’ Combs
walionekana pamoja huku ikiwa ni sehemu ya Jay kuonyesha mapenzi kwa
kundi la Bad Boy Family kwenye tour yao ya kuja pamoja kama record lebel
kubwa duniani.
Show hii ya kwanza imefanyika mjini Brooklyn nyumbani kwa Jay Z
ambapo Combs alimuita Jay Z ‘Kaka Yangu’ wakati anamtambulisha kwenye
stage aje kufanya nae show.
‘Bad Boy’ wamesherehekea miaka 20 kwenye game la muziki duniani.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten