Yanga
imeendelea kushinda mechi zake za ligi kuu Tanzania bara baada ya
kuifunga Toto Africans ya jijini Mwanza kwa magoli 2-1 kwenye uwanja wa
CMM Kirumba, Mwanza.
Toto walianza kupata goli la kwenye mchezo huo lililofungwa na William
Kimanzi dakika ya 39 kipindi cha kwanza lakini goli hilo likasawazishwa
na Amis Tambwe dakika ya 50 kipindi cha pili.
Yanga walijihakikishia pointi tatu kwenye mchezo huo kupitia beki wao wa
kulia Juma Abdul dakika ya 78 na kifanya Yanga kufikisha pointi 65
baada ya kucheza michezo 26 ya VPL.
Abonneren op:
Reacties posten (Atom)
ALIKIBA NCHINI UJERUMAN
Follow us on facebook
Popular Posts
-
Leo tutaongelea kuhusu furaha na afya katika michezo mbalimbali ndani ya jamii. Kuna aina za michezo nyingi sana katika jamii hivyo basi ...
-
Miongozo mipya iliyotolewa nchini Marekani inapendekeza wanawake wajawazito kufanya mazoezi mepesi karibu siku zote za ujauzito. Tofauti...
-
Mchezaji akicheza mpira karibu na shimoni kwa fimbo la "putter" Mchezaji akicheza mpira karibu na shimoni kwa fimb...
-
MUONEKANO WA HALISI WA BAO NA KETE ZAKE Habari ndugu msomaji wa makala hii ya Ielewe Michezo leo tutakuwa tukiangazia juu ya m...
-
1. Ni sayari ambayo kila baada ya miaka 3600 huingia katika solar system yetu na huikaribia dunia ila haitaigonga dunia. 2. Ni sayari am...
-
Lionel Messi Lionel Andrés Messi (amezaliwa Rosario, Argentina , 24 Juni 1987 ) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka ...
-
Waziri wa michezo Fikile Mbalula Afrika Kusini haitaandaa mashindano ya Raga, Kriketi, Riadha na Netiboli baada ya se...
-
Baada ya rapa Aka kuweka wazi kuwa yeyena DJ Zinhle watabaki kuwa wazazi tu kwa mtoto wao wa kwanza, kwa sasa staa huyu anajiachia ...
-
Even John Cena was hypnotized by his GF Nikki Bella’s cleavage during an event in NYC. The WWE Diva — with a huge hand from her l...
-
Ndege moja ya shirika la ndege la Misri la EgyptAir, iliyokuwa ikitoka mji mkuu wa Ufaransa Paris hadi Cairo, imetoweka kutoka kwe...



Geen opmerkingen:
Een reactie posten