50 Cent alipondwa vikali na mashabiki wake kwa kitendo hicho alichomfanyia kijana huyu huku familia yake ikitaka awaombe radhi uso kwa uso na kulipa faini ya dola milioni moja.

Na sasa familia yake imemtaka 50 cent alipe dola 100,000 kwa taasisi ya Autism Speaks, Mchango huo ni mdogo zaidi ukilinganisha na dola milioni 1 ambazo baba wa kambo wa Andrew alitaka walipwe.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten