Matukio ya Afrika
Ujerumani kutoa msaada kwa sekta ya afya Tanzania
Waziri wa ushirikiano kimaendeleo Ujerumani ameahidi kuendelea
kushirikiana na Tanzania kuzalisha wataalamu wa afya hasa katika kitengo
cha ukunga na uuguzi ili kukabiliana na upungufu wa wataalamu hao.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten