Tamko la madaktari Tanzania dhidi ya mashambulizi ya hospitali
Chama cha madaktari Tanzania chaitaka serikali pamoja na Jeshi la polisi
kuchukua hatua za kisheria dhidi ya wananchi waliowashambulia hospitali
za umma katika mikoa ya Mwanza, Mtwara pamoja na Katavi.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten