burudan

Umoja wa Ulaya kupunguza msaada wa jeshi Burundi

Umoja wa Ulaya unatathmini kupunguza asilimia 20 ya msaada wake kwa wanajeshi wa Burundi katika kikosi cha AMISOM ili kuishinikiza serikali ya nchi hiyo ikubali kukaa kwenye meza ya majadiliano.
 
Sikiliza sauti 02:41

Sikiliza ripoti ya Amida Issa kutoka Bujumbura

Geen opmerkingen:

Een reactie posten

KBSBLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Thema-afbeeldingen van Bim. Mogelijk gemaakt door Blogger.
Published By Gooyaabi Templates