Klabu ya soka ya Sevilla ya nchini
Hispania imeshinda taji la Europa kwa mara ya tatu mfululizo baada ya
kuichabanga klabu ya soka ya Liverpool kutoka Uingereza magoli matatu
kwa moja.
Kwa ushindi huo wa Sevilla itamaanisha kuwa vilabu vya nchi ya Hispania vitatawala katika mashindano makubwa msimu huu.Fainali ya klabu bingwa barani Ulaya itachezwa Mei 28 baina ya Real Madrid na Atletico Madrid.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten