burudan

Nuh Mziwanda azungumzia kuanzisha studio yake,itaitwa ‘Last Born Records’.

Bongo fleva super staa Nuh Mziwanda ameweka mipango yake wazi ya kuwa na lebel yake na studio yake mpya. Nuh kasema haya kwenye show ya 5 Select.
Nuh anasema “Vifaa vyote vipo tayari na bado tu sehemu ambayo studio zake zitakuwepo, nina studio yangu ambayo ipo na tayari na vifaa vyote vipo, bado vitu vidogo ianze kazi,Studio itakuwa inaitwa ‘Last Born Records’ na kwa kuanza nitaanza kufanya kazi na Ali kiba huyo ndiye ninayeweza kumuongela kwa sasa ambaye tumeshafanya maongezi”.
Kwa sasa Nuh Mziwanda anatangaza wimbo wake na Alikiba ‘Jike Shupa.’

Geen opmerkingen:

Een reactie posten

KBSBLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Thema-afbeeldingen van Bim. Mogelijk gemaakt door Blogger.
Published By Gooyaabi Templates