burudan

MEEK MILL AMSHIRIKISHA TENA NICK MINAJ KWENYE WIMBO WAKE

Meek Mill amemshirikisha mpenzi wake, Nick Minaj na Lil Uzi Vert kwenye wimbo wake mpya ambao utatoka hivi karibuni.
1462650922_626e8834cd22c6e41f21de51b46037c4
Kupitia akaunti yake ya Instagram, Meek aliandika: “You know how froze dat is FT . NICKI . LIL UZI #THE4 😢.”
Huu utakuwa ni wimbo wa tatu kwa Meek Mill kumshirikisha mpenzi wake, Nick Minaj baada ya ule wa’ ‘Bad For You’ na ‘All Eyes On Me’ ambazo zote zilitoka mwaka 2015.

Geen opmerkingen:

Een reactie posten

KBSBLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Thema-afbeeldingen van Bim. Mogelijk gemaakt door Blogger.
Published By Gooyaabi Templates