Rnb staa Keyshia Cole amekutana na baba yake mzazi ‘Biological
father’ baada ya miaka 34. Keyshia aliasiliwa na marafiki wa familia
yake ambao ni Leon na Yvonne Cole akiwa na miaka miwili.
Keyshia Cole alipost picha ya baba yake mzazi Mzee Virgil Hunter, ambaye ni mwalimu wa ngumi na kusema alikuwa na wiki ya hisia sana kwenye maisha yake baada ya kukutana na baba yake mzazi.
Kwa sasa Keyshia Cole yuko kwao akijaribu kumfahamu zaidi baba yake mzazi.

Geen opmerkingen:
Een reactie posten