Msanii
wa filamu nchini Niva Super Mariyoo, ambaye alionja joto ya jiwe kwa
muda fulani baada ya kutajwa kwenye wimbo wa Nay wa Mitego 'Shika adabu
yako' na kusema "Huyo msanii huyo hana hata chumba cha kupanga ila
anaishi kwenye gari".
Niva amefunguka na kusema kuwa Nay wa Mitego siku zote huwa anaimba watu
maarufu ili apate kiki na kusema msanii huyo kutokana na kufanya nyimbo
mbovu mbovu ndiyo maana hata siku moja hajawahi kupata tuzo.
Akizungumza kwenye kipindi cha eNEWS Niva Super Marioo amedai kuwa ni
kweli kwa sasa wanawake wengi wanafanya kazi na kutafuta riziki na
wanakuwa wanawasaidia baadhi ya wanaume ambao kazi yao kukaa nyumbani
kama Imma Chogo ambaye ni (Nay wa Mitego).
"Kimaisha mimi Imma Chogo hajanifikia sema sisi wengine huwa hatupendi
kujiweka wazi sana, kama kweli mtu unamiliki nyumba, una kwako kwanini
hutulii na familia? kama kweli wewe unajiona ni Gentle Man kwanini
wanawake wanakukimbia? Star anakimbiwa? mimi najua Star anakimbiliwa.
Mimi silelewi bali napewa mahaba ya dhati na mwandani wangu". Alisema
Niva
"Mimi namkubali sana Shamsa Ford sababu aliona kabisa yeye ni classic
sana kuliko Nay wa Mitego na ndiyo maana hajadumu naye akaachana naye,
Nay wa Mitego tatizo haudumii na ndiyo kesi kubwa na Shamsa. Shamsa
alikuwa akitoka kupiga movie lile bwana mkubwa linaanza kulialia oohh
mara gari halina mafuta mara sijui nini, sasa yeye muziki wake yeye
kweli kabisa kwanini anashindwa kumnunulia hata vitu anajinunulia
mwenyewe" Niva aliongezea.
Abonneren op:
Reacties posten (Atom)
ALIKIBA NCHINI UJERUMAN
Follow us on facebook
Popular Posts
-
Leo tutaongelea kuhusu furaha na afya katika michezo mbalimbali ndani ya jamii. Kuna aina za michezo nyingi sana katika jamii hivyo basi ...
-
Miongozo mipya iliyotolewa nchini Marekani inapendekeza wanawake wajawazito kufanya mazoezi mepesi karibu siku zote za ujauzito. Tofauti...
-
Mchezaji akicheza mpira karibu na shimoni kwa fimbo la "putter" Mchezaji akicheza mpira karibu na shimoni kwa fimb...
-
MUONEKANO WA HALISI WA BAO NA KETE ZAKE Habari ndugu msomaji wa makala hii ya Ielewe Michezo leo tutakuwa tukiangazia juu ya m...
-
Lionel Messi Lionel Andrés Messi (amezaliwa Rosario, Argentina , 24 Juni 1987 ) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka ...
-
hiki ni kibao cha chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha <AJTC> hili ni jengo la utawala katika chuo cha uan...
-
Syria imetangaza usitishaji wa mapigano wa muda mfupi karibu na Damascus na katika jimbo moja lakini haikutaja juu ya mapigano katika me...
-
1. Ni sayari ambayo kila baada ya miaka 3600 huingia katika solar system yetu na huikaribia dunia ila haitaigonga dunia. 2. Ni sayari am...
-
Nchi inaweza kuwa maskini zaidi duniani kama wana Pato duni la Asili , Kuna rasilimali kidogo, ukosefu wa ajira na maendeleo ...
-
Aliyekuwa mke wa rapa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ amejitamba hivi karibu akiwa na mp...
Geen opmerkingen:
Een reactie posten