![]() |
Mafuriko nchini Sri Lanka. |
Utawala nchini Sri Lanka unasema
kuwa zaidi ya watu 70 sasa wanafahamika kuaga dunia kwenye maporomoko ya
udongo yaliyosababishwa na mvua kubwa.
Katika maeneo mengine ya mji mkuu Colombo, maji yalipungua kwa kiasi leo Jumamosi lakini kwenye sehemu zingine maelfu ya watu waliolazimika kuhama kutokna na mafuriko na maporomoko ya Udongo bado wanaishi kwenye makao ya muda.
Misaada ya dharura yakiwemo mahema na mashua sasa vinawazili kutoka nchini India
Geen opmerkingen:
Een reactie posten