![]() |
Maporomoko ya ardhi yalifunika vijiji vitatu siku ya Jumanne. |
Idadi ya watu waliothibitishwa kuaga
dunia katika maporomo ya udongi ya hivi majuzi na mafuriko nchini Sri
Lanka, imepanda hadi watu 82.
Maporomoko ya ardhi yalifunika vijiji vitatu siku ya Jumanne. Watu kadha bado hawajulikani waliko huku maelfu ya wengine wakiishi kwenye makao ya muda.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten