Licha
ya kuonyesha uwezo mzuri kwa kutoa asisti nyingi na kufunga mabao
katika Premier League msimu huu, kiungo wa Arsenal, Mesut Ozil hayumo
katoka orodha ya wachezaji wanaounda kikosi bora cha msimu katika ligi
hiyo maarufu kwa jina la PFA Team of the Year.
Kikosi
hicho ambacho kimetajwa na Chama cha Wachezaji wa Kulipwa (PFA)
hakijataja jina la Ozil kama wengi alivyokuwa wakimtegemea huku
chipukizi wengine wakitajwa kuwa ndiyo wanaounda kikosi hicho.
Baadhi ya chipukizi waliotajwa katika safu ya kiungo ya kikosi hico ni Dimitri Payet, N'Golo Kante, Dele Alli na Riyad Mahrez.
Mpaka
sasa kabla ya mechi ya leo usiku, Ozil ametoa asisti 18 na kufunga
mabao 6 na amekuwa katika kikosi cha kwanza kwa muda wote msimu huu.
Abonneren op:
Reacties posten (Atom)
ALIKIBA NCHINI UJERUMAN
Follow us on facebook
Popular Posts
-
Leo tutaongelea kuhusu furaha na afya katika michezo mbalimbali ndani ya jamii. Kuna aina za michezo nyingi sana katika jamii hivyo basi ...
-
Miongozo mipya iliyotolewa nchini Marekani inapendekeza wanawake wajawazito kufanya mazoezi mepesi karibu siku zote za ujauzito. Tofauti...
-
MUONEKANO WA HALISI WA BAO NA KETE ZAKE Habari ndugu msomaji wa makala hii ya Ielewe Michezo leo tutakuwa tukiangazia juu ya m...
-
Mchezaji akicheza mpira karibu na shimoni kwa fimbo la "putter" Mchezaji akicheza mpira karibu na shimoni kwa fimb...
-
1. Ni sayari ambayo kila baada ya miaka 3600 huingia katika solar system yetu na huikaribia dunia ila haitaigonga dunia. 2. Ni sayari am...
-
Lionel Messi Lionel Andrés Messi (amezaliwa Rosario, Argentina , 24 Juni 1987 ) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka ...
-
Nchi inaweza kuwa maskini zaidi duniani kama wana Pato duni la Asili , Kuna rasilimali kidogo, ukosefu wa ajira na maendeleo ...
-
Even John Cena was hypnotized by his GF Nikki Bella’s cleavage during an event in NYC. The WWE Diva — with a huge hand from her l...
-
Waziri wa michezo Fikile Mbalula Afrika Kusini haitaandaa mashindano ya Raga, Kriketi, Riadha na Netiboli baada ya se...
-
Poda ya Johnson, iliyodhaniwa kuwa ni kipodozi na tiba mujarabu kwa watoto na watu wazima duniani kote imebainika kusababisha saratani. ...





Geen opmerkingen:
Een reactie posten