Mshambuliaji wa Uingereza na Arsenal star Jack
Wilshere amethibitisha kumvalisha pete ya uchumba mpenzi wake wa muda
mrefu Andriani Michael baada ya kumuomba awe mke wake kwenye siku yake
ya kuzaliwa.
Andriani amefikisha miaka 25 na walianza
kuwa na Wilshere, 24, miaka kadha iliyopita. Andriani ni mtoto wa
kinyozi wa Jack Wilshere.




Geen opmerkingen:
Een reactie posten