Manchester United yamfuta kazi Louis van Gaal
Mkufunzi wa kilabu ya Manchester United Louis van Gaal amefutwa kazi
kama mkufunzi wa klabu ya Manchester United ,huku aliyekuwa mkufunzi wa
Chelsea Jose Mourinho akitarajiwa kuchukua mahala pake.Raia huyo wa
Uholanzi anaondoka baada ya kukamilisha miaka miwili ya kandarasi yake
kati ya mitatu.Kitengo cha habari za michezo cha BBC Sport kiliripoti
siku ya Jumamosi kwamba ushindi wa United wa kombe la FA dhidi ya
Crystal palace utakuwa mechi yake ya mwisho akiwa mkufunzi.Uteuzi wa
Mourinho unatarajiwa kuthibitishwa baada ya raia huyo wa Ureno mwenye
umri wa miaka 53 kukutana na maafisa wakuu wa United siku ya Jumanne.
Abonneren op:
Reacties posten (Atom)
ALIKIBA NCHINI UJERUMAN
Follow us on facebook
Popular Posts
-
Leo tutaongelea kuhusu furaha na afya katika michezo mbalimbali ndani ya jamii. Kuna aina za michezo nyingi sana katika jamii hivyo basi ...
-
Miongozo mipya iliyotolewa nchini Marekani inapendekeza wanawake wajawazito kufanya mazoezi mepesi karibu siku zote za ujauzito. Tofauti...
-
Mchezaji akicheza mpira karibu na shimoni kwa fimbo la "putter" Mchezaji akicheza mpira karibu na shimoni kwa fimb...
-
MUONEKANO WA HALISI WA BAO NA KETE ZAKE Habari ndugu msomaji wa makala hii ya Ielewe Michezo leo tutakuwa tukiangazia juu ya m...
-
Lionel Messi Lionel Andrés Messi (amezaliwa Rosario, Argentina , 24 Juni 1987 ) ni mchezaji wa mpira wa miguu kutoka ...
-
hiki ni kibao cha chuo cha uandishi wa habari na utangazaji arusha <AJTC> hili ni jengo la utawala katika chuo cha uan...
-
Syria imetangaza usitishaji wa mapigano wa muda mfupi karibu na Damascus na katika jimbo moja lakini haikutaja juu ya mapigano katika me...
-
1. Ni sayari ambayo kila baada ya miaka 3600 huingia katika solar system yetu na huikaribia dunia ila haitaigonga dunia. 2. Ni sayari am...
-
Nchi inaweza kuwa maskini zaidi duniani kama wana Pato duni la Asili , Kuna rasilimali kidogo, ukosefu wa ajira na maendeleo ...
-
Aliyekuwa mke wa rapa Wiz Khalifa ‘Amber Rose’ amejitamba hivi karibu akiwa na mp...
Geen opmerkingen:
Een reactie posten