burudan

HATIMAYE NGORONGORO WAIBUKA MABINGWA WA UTANGAZAJI NDANI YA AJTC


Hatimaye   darasa la Ngorongoro limeibuka kidedea katika mashindano  ya utangazaji 
katika chuo cha uandishi habari na utangazaji Arusha mashindano yaliyochukua 
takribani siku tano.
Darasa hilo baada ya kuingia fainali hiyo jana kati ya madasa 13ambapo leo hii limejishindia 
kombe pamoja na pesa tasiilimu shilling laki moja na nusu huku likifatiwa na darsa la Kilimanjaro 
nafsi ya pili wakijishindia laki moja  darasa la serengeti limeshikili nafsi ya tatu na kupewa 
zawdi shilling elf sabini huku baadhi ya wanafunzi walio 
                                            
Hata hivyo mkuu wa chuo hicho bw Joseph Mayagila amewapongeza wanafunzi 
wote walioshiriki na kuwataka wasibweteke bali waendelee kujituma ili wafanye vizuri 


katika mashindano mengine yatakayojitokeza
Kwa upande wake mkuu wa wa kitengo hicho Bw Onesmo Elia Mbise  amesma mashindano 
hayo yamendeshwa kwa haki na usawa na majaji wamefuata kanuni zote za uhakiki 
wa vipindi lakini akiwataka wanafunzi wote kuongeza juhudi na kuiga vile 
vyote vizuri walivyoviona katika vipindi mbali mbali

Mashindano hayo ambayo ni ya  tisa kufanyika chuoni yamekamilika hii leo
 huku wanafunzi wakionyesha mwitikio na ushindani mkubwa tofauti na miika mingine

Geen opmerkingen:

Een reactie posten

KBSBLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Thema-afbeeldingen van Bim. Mogelijk gemaakt door Blogger.
Published By Gooyaabi Templates