Ukuaji na changamoto za Ushairi na Mashairi
Idadi ya mashairi ya Kiswahili yanayochapishwa yanazidi kupungua.
Malenga wa mashairi ya arudhi pia wamepungua. Changamoto zinazokumba
fani hii ni zipi? John Juma anashirikisha wataalamu kuelezea hali
inayokumba mashairi
Ili kusikiliza, bonyeza alama ya spika za masikioni hapo chini.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten