![]() |
Enganamouit alichezea Cameroon Kombe la Dunia mwaka jana |
Mchezaji wa Cameroon Gaelle
Enganamouit ameorodheshwa kushindania tuzo ya BBC inayotolewa kwa
mchezaji bora wa kike wa mwaka 2016.
Cameroon iliondolewa na China.
Wanaoshindania tuzo:
- Gaelle Enganamouit (Cameroon, fowadi, 23)
- Amandine Henry (Ufaransa, Kiungo wa kati, 26)
- Kim Little (Scotland, Kiungo wa kati, 25)
- Carli Lloyd (Marekani, Kiungo wa kati, 33)
- Becky Sauerbrunn (Marekani, Beki, 30)
Tuma 1 kupigia Gaelle Enganamouit, 2 kupigia Amandine Henry, 3 kupigia Kim Little, 4 kupigia Carli Lloyd au 5 kupigia Becky Sauerbrunn.
Ada za kawaida za kutuma ujumbe kimataifa zitatozwa. Tafadhali, thibitisha kwanza na kampuni inayokupa huduma ya simu. Kila namba ya simu inaruhusiwa kupiga kura mara moja pekee.
Mshindi atatangazwa kupitia kituo cha redio cha BBC World Service ana mtandaoni katika bbc.com/womensfootball mnamo Jumanne 24 Mei.
Geen opmerkingen:
Een reactie posten