burudan

maji ya visima


Serikali ya China inasema kuwa zaidi ya asilimia 80 ya maji ya maji ya kina kifupi yaliyo chini ya ardhi ni machafu mno na hata hayaweza kutumiwa kwa kunywa wala kuoga. Wizara 

inayoshughulikia maji nchini China ilifanyika uchunguzi wa zaidi ya visima 2000 eneo la mashariki, na kugundua kuwa takriban asilimia 30 ya visima hivyo ndivyo vinaweza kutumiwa kwa kilimo na viwandani
. Karibu asilimia 50 ya sampuli za maji haitatumiwa na binadamu. Maafisa nchini China wameuhakikishia umma kuwa kiwango kikubwa cha maji kinachotumiwa mijini hutokana na kirefu chini ya radhi.

Geen opmerkingen:

Een reactie posten

KBSBLOG Designed by Templateism.com Copyright © 2014

Thema-afbeeldingen van Bim. Mogelijk gemaakt door Blogger.
Published By Gooyaabi Templates